Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20240821_091854.jpg

Kanye west na mkewe
 

Basi tuu ila kupigana sio fani ya wanawake.....

Wanawake wote wakipigana lazima ukuwe na haya; kuvutana nywele/mawigi/ vilemba, kuvutana nguo, kung'atana, kufinyana na kulaliana chini hamnaga ngumi kama wanaume....

Sijui kwanini huwa wanapigana.....

Binafsi sipendi ugomvi, kupigana wala kujibizaja... Mbawa zangu teke, nazikimbiza mapemaaa.....
 
Back
Top Bottom