Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
1996-2002 yam primary.
98 ilipita parashuti anga ya shule yetu, ushamba wetu kijijini kule mwalimu mkuu alikuja kupiga kengele mwenyewe kuashiria dharura tuchukue tahadhari.
Vile alivyo toka ofisini kwake akikimbilia kugonga kengele sijasahau hadi leo!