Kakaa kama ana mguu mmoja
zita
Sii aseme tuu hawezi kuolewa maneno mengi ya nini. Kila mtu na lofestyle yake. I like her. She is honest and knows wat she wants.
Sii aseme tuu hawezi kuolewa maneno mengi ya nini. Kila mtu na lofestyle yake. I like her. She is honest and knows wat she wants.
Wanawake mnatakiwa kuwa kama huyu ssa
Just imajini
Pespi tamu sana ukipata na chipsi mayai moto ukawa unapoozea na pepsi bariiiid. Wadada wanapenda hiyo[emoji16]Pepsi kubwa, aahahahaaa ikiwa inavuja jasho hivyo.....
unaivutia taswira namna itavyosuuza na kupooza koo....
Shurti kuibwia kwa mafunda kadhaa kisha unaibana na mashavu kwa ndani kusikilizia utamu na namna koo linapoozwa...
Rqngi nyeusi ina maana kubwa kwa wanawake....!![emoji6]
Hata sijaongea tungo tata, ni akili za Kasinde tuu vile zimetafsiri Pepsi Kubwa inavyoburudisha....[emoji28].