moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,135
- 770,219
Nanyi mnaweza kwenda mahakamani kulalamika.Avumilie. Hata sisi hatuna cheo cha Naibu Waziri Mkuu katika katiba yetu ya Jamhuri!
Magoma anasema Katiba iliyoweka cheo cha rais ni batili na ndiyo liyotumika kuweka uongozi ulio batili.
Kwahiyo anataka kufuta ubatilli ndani ya Yanga.
Ana hoja, asikilizwe.