Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Prison guard aliliwa kwa hiari kabisa. Tena na wafungwa wawili. Kumbe ni mke wa mtu. Na wana katoto kachanga!Mkuu hii video sikuiona niliona ina trend twitter nikaipuuzia sema duuh kataa ndoa tunazidi kuchukua point 3
Shangaa na wewe. Wakati mpaka kuruhusu Waziri Mkuu aje afungue mradi ina maana viongozi wote wa mkoa na wilaya wameshapitisha. Shida tupu yaani!Ina maana Waziri Mkuu asingeyaona hayo tayari walimu na viongozi wengine wangepokea na kuruhusu yatumike.
Nchi ina watu ovyo sana hiiπ
Mnataka tuache memes tena tuwe motivesheno spikazi? Au hamjui kuwa motivesheno spikazi wengi ndiyo wanaongoza kwa kuwa na siteresi, wasiwasi na msongo wa mawazo?
Ni mwanafunzi? Kawezaje kuwa na mtako wa hivi kama bado denti? π³Kwa miaka yangu 2* nikijumlisha na 30 ya serikali nitatoka nikiwa na 50+ nitakuwa sijapoteza saaana.View attachment 3039340
Kama ni mimi navaa na kuondoka. Mastered the art of edging πWanaume tunanyanyasika..
Hilo neno sio tusiMtumishi unaniangusha sasa kha!
Hahaha mods waliniambia niache kufananisha id na kupunguza kutag watu ndo maana nimeamua nivunge tu!Nani tena huyo?
Umeanza lini kuwa mwoga? π³ππΏββοΈππΏββοΈ
Naam naam mkuu pesa tamu bana tena ya ma deal na wizi ndo kabisa ukiwa mnyonge na mtu wa dini sana utakufa masikini and I'm not ready
Nani alikwenda kuupima kuwa unatembea
Wanaotaka slope tu. Ila ni kujidhalilisha tu kutembea nayeMbona sasa vijana wanamkimbilia? π³
π₯π¨π§π§ Sad kwa kweli ukifikiria investment uliyoweka inakata sana hii ishuPrison guard aliliwa kwa hiari kabisa. Tena na wafungwa wawili. Kumbe ni mke wa mtu. Na wana katoto kachanga!
Wanasema kuwa pengine alifanya makusudi ili aachane na mumewe maana alijua kuwa ndani ya gereza kuna kamera 24/7!