Jamaa akishaliget utashangaa watu wataanza kuhangaika kumtafuta wakisikia kapotea wakati amelifind mwenyew
Mkuu hulali?[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ulisikia wapi,eeh ulisikia wapi?
Mkono mtupu haulambwi
Ana undugu na Lemutuz?
Hii wajumbe wamemtengenezea shoti tu siyo yeye.