Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
πππNyie andikeni memes Kwa kutumia picha zangu mi soon naaga ubachelor
Yaani nilipoona tuu hi meme nikakumbuka chap jina lako mkuuπππNyie andikeni memes Kwa kutumia picha zangu mi soon naaga ubachelor
Namkubali sana Man Ringo bin SabufaYaani nilipoona tuu hi meme nikakumbuka chap jina lako mkuu
Ahahahaha daaah ni hatareee sna
Na pacha wako kashaoa tayari mkuu...Namkubali sana Man Ringo bin Sabufa
Ndoa iz not for everyoneNa pacha wako kashaoa tayari mkuu...
Naona kina tin na mwenzake masantula sijui wanafeli wapi ahahah
Hawa jamaa watengwe asee akili zao ni za tofauti kabisa
Unyoka wenyewe ndo huo hapo chini ππ