Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1719333518361.jpg
 
View attachment 3026435
Hili halikwepeki.
Dunia nzima iko hivyo.
Mfugaji atarithisha mifugo, mkulima halikadhalika, mganga arithisha uganga.
Kila mwana jamii huona fahali kurithisha kazi yake.

Ula wanasiasa husemwa vibaya

Ndiyo. Dennis Mpagaze kalieleza vizuri sana kwenye kitabu chake cha malezi ya watoto!
 
Back
Top Bottom