Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sisi kama watu wazima tushaelewa mama wala usiseme... 😁

Ahahahaaaa jamaniii, huyu baba muamala haukufanyika kabisa, alikuwa ananichukulia kama mdogo wake. Yeye alikuwa mtu wa Singida na Bukoba, alikuwa ananiita jirani sababu Sindida na Tabora ni majirani.

Mmeelewa vibaya hakyanani tena....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
 
Wee bwana kulana muhimu bwana tena hiyo ya mlikiwa washikaji alafu siku itokee tuu mmedinyana aisee huo mdinyo wake unakuwa mtamu.

Sema nyie hampendi hiyo kwa sababu ikitokea baso mwanaume ndio anakuwa na power kaenye hiyo urafiki after kudinyana
 
Ah wee mnyamwezi wa wapi? Igunga au nzega?
 
Wee bwana kulana muhimu bwana tena hiyo ya mlikiwa washikaji alafu siku itokee tuu mmedinyana aisee huo mdinyo wake unakuwa mtamu.

Sema nyie hampendi hiyo kwa sababu ikitokea baso mwanaume ndio anakuwa na power kaenye hiyo urafiki after kudinyana

Aahahahahaa acha tuu nature itake place ila, let's agree with this truth that....,

after sex the relationship won't be the same....
 
In case you didn't notice hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke . Rejea kauli ya mzabzab hapo juu[emoji16][emoji16].

If they're not currently smashing basi ndio wapo kwenye mchakato, na wakitofautiana sera utaona tu kila mmoja na mishe zake urafiki unakufa. Haihitaji D mbili kujua hilo[emoji16][emoji16]
 

Nimekubali.....πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Japo kwa shingo upande....

Kuna namna kama mwanamke natamani kuwa na ukaribu na mwanaume flani ila kusiwe na mahusiano ya kimapenzi kabisa.

Ila ndo hivyo, wenzetu hamuwezi.... na uzee wangu huu sijui kama bado kuna vibabu vitataka kupitiliza kwenye ushkaji au bado haina umri....🀣🀣🀣🀣🀣

Well nshaachana na mambo hayo nimewaachia vijana, uzee dawa πŸ™‚.
 
Hayo mambo ni ya vijana... Wazee wengi sidhani kama wana hizo mambo kwanza hata hizo nguvu za mihemko hiyo sidhan kama ipo tena[emoji16]
 
Usijidanganye wazee tena ndio wabaya pamoja na kwamba havina nguvu lakini bado wanataka tamuuu

Aahahahahahaaa nimechekaaaa......🀣🀣🀣🀣🀣

Jamaniii aahahahahahhahaa looh...!!!

Haya basi ntabaki na mashosti tuu kupiga umbeya, wanaume wazee kwa vijana ntawakimbia wasije wakapata nafasi ya kupita nayo nikijisahau nikabinuka....😁😁😁.
 
Tena kijana ndio usijaribu kabisa atakuonjeaha utamu never felt before uanze kuwanyima watoto urithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…