Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,135
Hannah upo ndugu yangu , sijuinkwa nini leo nimekukumbuka hivyo!
Hannah upo ndugu yangu , sijuinkwa nini leo nimekukumbuka hivyo!
Kama kuna nyingine nyingi za huyu mwamba tuma😂😂😂😂😂
Poa mkuu 👍Kama kuna nyingine nyingi za huyu mwamba tuma😂😂😂😂😂
Nipo dear. Basi uje unitembelee sasa hivi nina ka newborn full heka heka ndio maana hata huku nadra.Hannah upo ndugu yangu , sijuinkwa nini leo nimekukumbuka hivyo!
Waohh! Hongeraa.Nipo dear. Basi uje unitembelee sasa hivi nina ka newborn full heka heka ndio maana hata huku nadra.