Vituko mitandaoni. Tupia chako

Gereza la kilimo la Dilunga.
Gereza maarufu sana zamani kwa wavulana wanaodandia meli.
Ukikamatwa unafikishwa kwa bwana Jela Dilunga, unapiga kijembe miezi sita hadi mwaka mmoja, mpaka akili inakukaa sawa.
Kuna jela ndugu yangu hio cha mtoto, kuna jela Morogoro kule mtego wa simba! Huko jembe linapigwa si haba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…