Duuu
Nawe pia Brother.
NduuAina fulani ya viazi amazing sanaa View attachment 2956923
Wahooo! Kumbe unazifafamu?Nduu
Sanaaa nyie mnaziitaje kuna mdau hapo kasema zinaitwa mayayauu😂😂.Wahooo! Kumbe unazifafamu?
Mmoja kavaa miwani na mmoja kashika simu.Mmoja amevaa scrub ya blue mwingine nyeupe, mmoja anatumia computer mwingine simu. Wote wamevaa surgical masks, wote ni weusi.
🤣🤣🤣🤣🤣