Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kumbe unaweza kuwa organ donor na bado viungo vyako vitauzwa[emoji849] na pia utajiweka kwenye hatari ya kunyofolewa viungo vyako katika mazingira ya ajali ingawa ungeweza kupona[emoji849][emoji849].
Dunia siyo mahali salama kwa sasa
Ndiyo. Mimi nilishauriwa kwenda kuiondoa hiyo organ donor maana ukipata ajali halafu uwe peke yako ukifikishwa hospitalini jamaa wanaweza wakaamua kuvuna kila kitu halafu wakaandika ripoti ya uongo kuwa ulikuwa huponi. Na ukiwa mweusi uwezekano huo ni mkubwa zaidi. Niliogopa!
 
Harakati za mwanadamu katika kutafuta riziki hazina utulivu wala urahisi, zimejaa misongamano na mibanano kwa vile kila mmoja ifikapo asubuhi huamka nakulekea kwenye harakati hizo.

Asubuhi asubuhi yetu ikawe njema hatakama itaambana na usumbufu wa namna moja ama nyingine
 
🙏🙏🙏🙏🤲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…