Vituko mitandaoni. Tupia chako

Asanteni wanawake wote. Nyinyi ni mama zetu na kipindi cha mimba miili yenu hupitia suluba na mabadiliko ya kila aina. Ndiyo maana miili hiyo huwa inachoka mapema.

Isitoshe kule labor kifo ni nje nje. Kupitisha likichwa la mtoto katika kanjia kale kadogo tena ukiwa katika maumivu makali yanayosemwa kuwa yanazidi 10/10 ni hatari. Kitu kidogo tu kisipokwenda inavyotakiwa ni shida. Na bado mkilimaliza jukumu hilo takatifu mnasahau na kurudia tena na tena. Aaaah! Upendo gani wa kweli kama huu wa mama kwa mwanae?

Wi lavu yu ende Thenki yuuuuuu!
 
Wapole. Hawana roho mbaya. Hawataki vurugu. Wana upendo wa kweli. Wanazaa watoto wenye akili sana (scientifically proven) na ni wake wema πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…