The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,144
- 8,022
Yaani kungekuwa na option ya kutoa likes 100 ningetoa kwa hii picha aisee!Halafu ukikua.... umegraduate... umeajiriwa... unaoa... Mkeo anakuambia "Mamako Mchawi!" Nakuhakikishia wewe ndio Mchawi!View attachment 1502785
[emoji15][emoji15]
Huyu nitampa kula yangu
Hii nakubaliana nayo,wanawake wanachagua mno,anaweza kuchagua hapa akaacha,akaenda mbele akakipata anachokitaka bei ikiwa juu kidogo anaacha anakwambia turudi kule mwanzo Dah![emoji3]