Tulisoma wote hakua na swagga za kua sista sijui n maisha...katika pitapita tukakutana A- town unajua muda mrefu hamjaona kuchangamkiana kwa sanaa mi nikamueleza yangu ππππyy hakusthubutu kuniambia ukweli wake.
Mavazi yanaonyesha ila kama sio muumini hauwezi kujua maana n sketi refu + kitambaa kichwani....