🤠🤠🤠🤠!
Usikomee kwenye Afrika pekee bali ni po pote alipo mtu mweusi iwe ni Marekani, Haiti, Visiwa vya Caribbean, Australia na kwingineko. Matatizo ya mtu mweusi ni yale yale🚶🏿♂️🚶🏿♂️Hapa Afrika us...ge mtupu.
Halafu kitakuja kijitu kikwambie eti shida za Afrika yote ni CCM.
Shida ya Afrika ni wafrika wenyewe.
Wasomi, Viongozi wa Dini, Wananchi wote Utopolo.
Tumekalia ngono na ulozi tu.
Msomi na maamuma wote akili zao zinafanana.
📍📍📍📍