Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna wakubwa kuliko mimi [emoji23]
Ira awajiamini[emoji12]
Wanatumia kira mbinu 🥱
Iri nianguke Chini [emoji12]

Nakupa pore mwafula usie kuwa na maisha unakaa kwenu [emoji2957][emoji12][emoji12]
Piss yoyote razima iwe na maisha yake w unakaa kwenu arafu unapiga kelele [emoji23][emoji1787][emoji23]

Arafu iyo rosheni unayopaka ya bei rahisi achana nayo mana so unakuwa mweupe bari unakuwa kama ngozi ya kenge[emoji12][emoji2957]

Ipo ivi ukitaka bifu na mm hakikisha we mzuli kama uereweki uxinichoxhe bhana [emoji1787][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1709532261706.jpg
 
Back
Top Bottom