Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1708450812643.jpg
 
Taarifa muhimu

Kaka habari. Pichani ni askari wa jeshi la Polisi G.5476 DC/CPL MADUSHI MHOGOTA NG’WALA wa Wilaya ya Liwale, mkoani Lindi. Anatuhumiwa kufanya tukio la kikatili la kumbaka mtoto wa darasa la 6 (jina linahifadhiwa kwa ajili ya usalama wake).

Tukio lilitokea juzi tar.18 jioni ambapo askari huyo alimfungia mtoto huyo chumbani kwake na kutekeleza tukio hilo la kinyama. Baada ya kukamilisha nia yake ovu alimfukuza, lakini alishindwa kutembea kutokana na majeraha aliyosababishiwa sehemu za siri. Askari huyo alimpiga kwa mikanda na kumlazimisha kutoka.

Baada ya kelele nyingi za uchungu, wasamaria wema walifika na kumsaidia binti huyo kumpeleka polisi kupata PF3 na kumpeleka hospitali ya wilaya ya Liwale kwa matibabu. Ripoti ya daktari inaonesha binti amejeruhiwa vibaya na hadi sasa amelazwa hospitalini hapo akiendelea na matibabu.

Lakini mtuhumiwa hadi sasa hajakamatwa. Polisi wanadai ametoroka. Hata hivyo inadaiwa baadhi ya askari ambao ni marafiki zake walimfuata mama wa mtoto na kumpatia kiasi cha milioni moja, ili amtoroshe binti yake hospitalini kupoteza ushahidi. Mama alikubali lakini uongozi wa hospitali ulipata taarifa na kuongeza ulinzi. Mpaka sasa mtoto bado yupo hospitali ya wilaya Liwale. Tunaomba utusaidie kupaza sauti ili haki ya mtoto ipatikane maana wazazi wake wanataka kurubinika sababu ya umaskini.

#MyTake:
Nimewasiliana na Hospitali ya wilaya ya Liwale wamethibitisha tukio hili ni la kweli. Naomba mama yetu @gwajimad umsaidie huyu binti kupata haki yake. Mhe DC Liwale @mlinga_goodluck je unazo taarifa za tukio hili? Wewe ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, tafadhali hakikisha huyu askari anakamatwa. CC: Mhe.Rais @samia_suluhu_hassan, IGP Wambura @polisi.tanzania
FB_IMG_1708450704307.jpg
 
Taarifa muhimu

Kaka habari. Pichani ni askari wa jeshi la Polisi G.5476 DC/CPL MADUSHI MHOGOTA NG’WALA wa Wilaya ya Liwale, mkoani Lindi. Anatuhumiwa kufanya tukio la kikatili la kumbaka mtoto wa darasa la 6 (jina linahifadhiwa kwa ajili ya usalama wake).

Tukio lilitokea juzi tar.18 jioni ambapo askari huyo alimfungia mtoto huyo chumbani kwake na kutekeleza tukio hilo la kinyama. Baada ya kukamilisha nia yake ovu alimfukuza, lakini alishindwa kutembea kutokana na majeraha aliyosababishiwa sehemu za siri. Askari huyo alimpiga kwa mikanda na kumlazimisha kutoka.

Baada ya kelele nyingi za uchungu, wasamaria wema walifika na kumsaidia binti huyo kumpeleka polisi kupata PF3 na kumpeleka hospitali ya wilaya ya Liwale kwa matibabu. Ripoti ya daktari inaonesha binti amejeruhiwa vibaya na hadi sasa amelazwa hospitalini hapo akiendelea na matibabu.

Lakini mtuhumiwa hadi sasa hajakamatwa. Polisi wanadai ametoroka. Hata hivyo inadaiwa baadhi ya askari ambao ni marafiki zake walimfuata mama wa mtoto na kumpatia kiasi cha milioni moja, ili amtoroshe binti yake hospitalini kupoteza ushahidi. Mama alikubali lakini uongozi wa hospitali ulipata taarifa na kuongeza ulinzi. Mpaka sasa mtoto bado yupo hospitali ya wilaya Liwale. Tunaomba utusaidie kupaza sauti ili haki ya mtoto ipatikane maana wazazi wake wanataka kurubinika sababu ya umaskini.

#MyTake:
Nimewasiliana na Hospitali ya wilaya ya Liwale wamethibitisha tukio hili ni la kweli. Naomba mama yetu @gwajimad umsaidie huyu binti kupata haki yake. Mhe DC Liwale @mlinga_goodluck je unazo taarifa za tukio hili? Wewe ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, tafadhali hakikisha huyu askari anakamatwa. CC: Mhe.Rais @samia_suluhu_hassan, IGP Wambura @polisi.tanzaniaView attachment 2910500
 
Huyu askari atapata tabu sana
 
Back
Top Bottom