Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mtanzania Anaitwa KARIM HUSSEIN LIMO Huyo Aliesimama Katikati Amezaliwa 1968 Elimu Amepata Shule Ya Msingi Maweni

Baba Yake Anaitwa HUSSEIN ABEID LIMO Mama Yake Anaitwa MARIAM MASHIRIMA Kwao Ni Himo, Moshi

Aliondoka Tanzania Kuelekea South Africa 1998 Miaka Yoote Hakuwahi Kurudi Tanzania Wala Mawasiliano Na Ndugu Zake

Hivi Sasa Amerukwa Na Akili Yaani Kichwa Hakipo Sawa Anataka Kurudi Tanzania Hali Yake Mbaya Kama Unavyomuona

Anawakumbuka Ndugu Wachache Kama
Rehema Ibrahim - Upande wa Babba
Abeli Mfinanga. - Upande wa Mama
Nurdini Swalehe - Upande wa Babba
Waliabi Moshi - Dada
Madina Hussein - Dada

Kwa Yoyote Anaefahamu Ndugu Zake Awasiliane Na .+255763005575 Au +27687762094 Msangi Kwa Whatsaap Ili Arudishwe Tanzania

Picha Hii Imepigwa Nje Ya Ubalozi wa Tanzania Huko Pretoria, South Africa

SAMBAZA TUPATE NDUGU ZAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtihani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…