Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Baba wa familia huyu
Msanii wa Muziki kutoka Tanzania, BABA LEVO, wakati Akiwa kwenye Interview na #WasafiFm amefunguka kuhusiana na kupigwa na Harmonize

Kwa maelezo yake alisema Kuwa,

" ilikuwa siku ya Jumamosi, Saa 8 usiku ambapo walikuwa kwenye Casino kubwa Tanzania, na Siku hiyo kulikuwa na Baadhi ya mastaa wakiwemo directors pamoja na wasanii wakubwa akiwemo Harmonize

" Kulikuwa na Tajiri Mmoja ambapo jmosi alishinda sana hela, baada ya Tajiri huyo kushinda akaniita na baadae akanipa Mil 10 Ambapo nichukue Mil 2 nyingine niwapelekee wenzangu Wagawane

" Sasa nilivyochukua Mil 10 ambapo nikachukua mil 2 na million 8 iliyobaki nikaweka Mezani, lakini nilivyogeuka Pembeni sikuona mil 5, nikauliza nani aliyechukua nikaambiwa Harmonize

" Kwaiyo Jambo hilo sikulipenda mana Tajiri alinipa ili niwagawie wenzangu ambapo Walikuwa 9 pamoja na Harmonize, kwaiyo baada ya kutetea ndo akanipiga " amesema Baba levo

FB_IMG_1707817828164.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom