Duuu!
Wavunje SGR watengeneze miundombinu wezeshi, la sivyo mji utazamaInasemekana SGR wamejenga tuta kubwa kisha wakatoboa matundu ili maji yaweze kupitia sehemu nyingine. Sasa kwa bahati mbaya huko walikoyaelekezea ni mjini. Ndiyo maana ya hekaheka hizi mpya za mafuriko. Poor planning!
Mnatuonea🥶🥶🥶🥶
Shughuli ya uwanjani inakuwa ya moto kwelikweli
🤣🤣🤣Uwe na adabu Ebo