moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,142
- 770,237
Hahahahaha.
Huwezi wewe.
Uwezo wa kutunza siri hamna nyie

Hahahahaha.

Jenerali Ulimwengu na Mkapa walikuwa marafiki tangu wakiwa Daily News.Aisee sikumbuki. Akina nani hao? Najua Mkapa alikuwa na bifu na Jenerali Ulimwengu ila sina uhakika kama sekeseke la uhalali wa uraia wake lilikuwa kipindi cha Mkapa, J.K au Magufuli.
Ila inavyoonekana wapo wengi tu!
View attachment 2883979