Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,468
- 7,745
Ni wewe huyo nikikuamshaga. Nitaleta ubuyu wako muda si mrefu. ππππππHuwa sipaki makeup, sema jingine.
Inatisha, yajayo hayafurahishi.
Kumbe ndiyo hivyo [emoji849][emoji849][emoji736][emoji736]
View attachment 2880318
Ni masikitiko tu ndugu yangu. Kila kitu ni siasa. Maadam hao wakimbizi ni wanaCCM basi haina neno ππΏKuhusu hili nini maoni yako Kamanda ?
Nitaanzisha uzi niuite vituko vya Mloganzila aiseeππ
Hapo anafakamia na juisi yake ya parachichi safiii! πππ