moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,147
- 770,250
Kindi, kangara au mgorigori
Kindi, kangara au mgorigori
Inakutosha hiyo ?Moja....nafeliieee
Matumizi mabaya ya pesa
Hela zote hizo jamani ah wacha mtoto wenu abaki na tako lake skonsi. Hiyo hela nina bodaboda nne uhakika kabisaWe na mjukuu sijui mtafikishana wapi. Kama uko siriazi lete mahari tukupe mwali ukahangaike na t. skonzi lako huko.
Mahari ni ng'ombe 25 au ukitaka pesa milioni 12.5.
Huyo itakuwa mie jamani...@mawardat tako skonsi anataka ng'ombe 25 sitaweza jamani
Hii moja tuu inanipeleka spidi ndio niongeze mchepuko labda uko mbele ya safari😃😃🙌🙌Huna fyekero hata moja?
Mi ninalo moja sema sasa nishasahau pasiwedi.
Kuna maokoto nini? Mimi sijui....Burudani yangu kusoma kuchangia mara chache sanaa.Inakutosha hiyo ?