Siyo kweli.Nina Macho ya kijambazi mabaya hakuna mfano kama haya![]()

Muhimbili sasa wako vizuri.
Hakika....Muhimbili sasa wako vizuri.
Zamani ungesikia kapelekwa India
Hapana Sio kweliWewe ni maarufu sana hapa.
Wewe ni mmoja ya wale wanaosifika hapa jf hasa kwa macho yako![]()
Siyo kweli, una macho katamu sana...Nina Macho ya kijambazi mabaya hakuna mfano kama haya👹