black flowers
Member
- Jan 16, 2024
- 64
- 217
Una usafiri wako au unatumiaga daladala?Mie Sina.
Msemaji kasema
Nina miliki ranger,Sina shida ankoUna usafiri wako au unatumiaga daladala?
Duuu!!!! Mbona umekuja kivingine, shida nini?Nina miliki ranger,Sina shida anko
Santo sanaKazi na dawa...
Ana macho mazuriHappy birthday MillieView attachment 2874264
Kweli watu tunatoka mbali
Follow your heart but don't forget to carry brain with you
Mbona hizi sisi Yanga tunavaa tu hazina shida.Wakapigie deki klabuni View attachment 2872891
AhahahhauhahauahayDuuu!!!! Mbona umekuja kivingine, shida nini?
Umenikumbusha Kauli ya Lowassa kuwa Kikwete ' Hawakukutana barabarani'.