Au wewe umeona Nini mkuuDuu!!
Kumbe iko hivyo![]()
Karibu sana....Siku moja mimi kuna hatari ya kusilimu. Mambo rahisiiii!
Nipe mchongo...Karibu sana....
Kha huyu dada ana moyo....sasa libolo la huyo jamaa sii unalisikia mpaka kwa koo
Mwamba kagoma kupigwa exile!
Kwa hiyo matajiri hamna matumaini? 😳