Ile kitu ni kama uji wa ulezi ukiweka tu kijiko unalainika
Hahahah... Hii imeenda..!Bora gogo tu kuliko kujipinda Hadi nyonga zinashtuka bado unaachwa [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2870399
😂😂😂🥺nilikua nataka nijibu kabsa ila nikakumbuka kumbe Mimi sio dada ni lishangazi 🤣🤣
View attachment 2870415
Amepigishwa magoti ili apewe nini?
Wakenya shwaini sana
Kama ndiyo hivyo sasa ni zamu ya Edgar Lungu naye kupiga magoti[emoji1787] .