Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mpaka sasa sijajua ni aina gani ya mapadre hawa.View attachment 2861504View attachment 2861505
Hao wanaitwa Klu Klux Klan kifupi KKK ni kundi la watu weupe lenye maskani yao Marekani, wanajihusisha na harakati mbalimbali za kigaidi na ubaguzi wa rangi dhidi ya watu weusi. Asilimia kubwa ya wanaharakati wa haki za watu weusi miaka ya nyuma waliuawa na kundi hilo.
 
Screenshot_20240104-123745.jpg
 
Back
Top Bottom