Umetumia Fasihi kali sana!
Jamaa mpaka anatia huruma yaani. Kweli hayanaga mwongozo kama ambavyo mzee wa miongozo huwa anatuusia humu!
Ransom πππ.
Hivi kwa mfano ile hela kama sijaitoa mnachukulije.Ransom πππ.
Inategemea na ntu na ntu m sio lazima unipe hapo kwanza na aibu(nakua kama nauza) ππππsio kua sipendi hela ila najua ntapewa tuuu no matter what.Hivi kwa mfano ile hela kama sijaitoa mnachukulije.
Naomba uzoefu mkuu
Hili jicho akiwa kwenye mchezo wa kibaba baba na kimamama sijui linakuwaje πππ
Ajipange kuvunjiwa vyote.
πππ