Hela gani[emoji23], hizo za masimango[emoji23]Wataisoma namba....hamna cha bure hapa sii mlitaka haki sawa haya pambaneni mpate hela zenu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alafu huyu mercy kaongea toka rohoni inaelekea jamaa aliomba tope
Wana mimba changa[emoji23][emoji23]
[emoji849][emoji849]Hivi ndivyo tunavyozalisha madilteta.
[emoji23][emoji23]Hataki majirani huyo, usikute kuna ngazi maalumu ya kupanda kuingia ndani [emoji16]
Sukari aisee, hapo moshi kilo 4000!
Ungesema mapema maneno hayo nisingekula bata Krismass iliyopita[emoji23][emoji23]