Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,259
- 35,533
Tunawazaga Kula tu.
Yupo wapi Braza Mwango.W. ?
Tuombe shetani apite mbali,wengine ndiyo nyumban hapa,Itifaki zizingatiwe wandewa.
Shikamoo pia[emoji23]Poa mlongo
Shikamoo
Huyu lukas mwashambwa?
Asee wenge wasilete humu.Tuombe shetani apite mbali,wengine ndiyo nyumban hapa,
YaanAsee wenge wasilete humu.
Maisha bwana, Chidi benzi kazi zake sijazisahau mpaka leo.
Mnakuwa source, jitune kwenye kupotezea na sio kuitisha mjadala maana katapata upenyo wa kuendeleza topic.Tuombe shetani apite mbali,wengine ndiyo nyumban hapa,