midekoo.....ndo kusemaa......
Kusemaje...midekoo.....ndo kusemaa......
Has Miso Missondo
Acha vijembe basi? 😁😁😁🖐
🤣🤣 uzi unaitwa vituko mtandaoni.. mtu akihusisha na maisha yake, ni kuacha sindano imchome 😂😂Acha vijembe basi? 😁😁😁🖐
Itabidi tu hyo siku tufungue mwaka live pamoja🥰
Mnanitenga sio? Basi sawa 😂😂Itabidi tu hyo siku tufungue mwaka live pamoja🥰
Anataka kudundwa amalize mwaka vibaya🤣🤣Acha vijembe basi? 😁😁😁🖐
Pole nyingi sana zikufikie rafiki yangu🤣🤣Mnanitenga sio? Basi sawa 😂😂
Atarudi.. na mtanyooooka