Wako na furaha , maybe sio wafiwa!
Hatariii sana
Kuunguza upepo .
Upepo wa kutoka wapi 😅😅😅Kuunguza upepo .
Bonge la point, nashukuru nikifika home zawadi zote nanunua maduka ya nyumbani.
Naomba Mungu isitokee nikajibiwa hivi, najisikia vibaya mnooo!