Na mnavyojua kunusa ndalama 🤣🤣🤣🤣
Tena wewe shemeji akishike hilo tako jamani sii ndio balaaaa 🤣🤣🤣🤣 twende zenji basi shemeji
Spot on mate!
Aisee hongera kwao. Funzo hapa ni kwamba watu waoane mapema sio wana randa randa na mbususu tofauti tofauti mpaka miaka 35 alafu wategemee ndoa kudumu. mawardat na Aaliyyah mmeona hiyo...so acheni kupoteza muda njoonini kwa mzabzab muolewe mpage kuishi maisha marefu 😝Hongereni sana wazee wetu.
Nyinyi ni mfano bora kabisa.
View attachment 2849337View attachment 2849338View attachment 2849339
mawardat ile nauli yangu bado inaniumaaa....ukijichanganya tuu nakupakia mkongo
Hahamawardat ile nauli yangu bado inaniumaaa....ukijichanganya tuu nakupakia mkongo
