Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1703067233909.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"All animals are equal, but some animals are more equal than others."

“The creatures outside looked from pig to man, and from man to pig, and from pig to man again; but already it was impossible to say which was which.”
“Man is the only creature that consumes without producing. He does not give milk, he does not lay eggs, he is too weak to pull the plough, he cannot run fast enough to catch rabbits. Yet he is lord of all the animals. He sets them to work, he gives back to them the bare minimum that will prevent them from starving, and the rest he keeps for himself.”
― George Orwell
 
Chama kipya cha siasa Afrika Kusini. Zuma amejiunga nacho na kinategemewa kutoa upinzani mkali kwa ANC. 2025 kutakuwa na chama kipya ambacho kitatokana na CCM; na ambacho kitaweza kuitingisha?

View attachment 2848036
Upinzani wa CCM utatokana na CCM yenyewe.
Mwaka 2015 kama Edward Lowassa angeamua kujiengua mapema angefanikiwa kuimega CCM, lakini amechelewa.
Alisubiri michakato ya CCM kupata mgombea wake, naye aliamua kuwa mshiriki, baada ya kutemwa akahamia upinzani.
Wafuasi wake ndani ya CCM walibaki ili kulinda nafasi zao kwenye majimbo yao ya uchaguzi.
Lakini nina hakika angeondoka miezi mitatu kabla, CCM ingepasuka vipande
 
Back
Top Bottom