Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
FB_IMG_1702972995806.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIMEOGOPA SANA MNO YAN NIMESIKITIKA

[emoji1593]Kati ya Vijana 10 waliomaliza Chuo kikuu , vijana 5 ndo wenye uwezo wa kuandika ukurasa wa maneno kadhaa bila kuchanganya herufi L na R kwenye Kiswahili

[emoji1593]Katika vijana 10 waliomaliza Chuo kikuu, 7 Kati yao Lugha waliyofundishiwa hawana uwezo wa kuiongea kwa ufasaha yaani kujieleza kwa lugha husika Hawawezi

[emoji1593]Kati ya Vijana 10 waliomaliza Chuo kikuu 6 Kati yao hawajui historia ya nchi yao ukiwauliza wana kwambia hatujaenda kusoma historia au fani Hiyo, wakati jambo unalomuuliza tulijifunza form one Mpaka three, na mengine ni ya Primary kabisa

[emoji1593] Katika vijana 10 waliomaliza Chuo kikuu vijana 9 hawajahi igusa katiba ya Tanzania na kujisomea,

[emoji1593]Kati ya Vijana 10 wanaomaliza Chuo kikuu basi 9 Kati Yao wanasaka ajira, mmoja tu ndo anawaza kuwekeza au jinsi ya kupata mtaji kufanya mambo yake!

[emoji1593]Mwisho kabisa Katika vijana 10 waliomaliza Chuo kikuu basi 9 wana app ya Udaku

Niendelee kulia Kama @ExMayorUbungo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka FB[emoji1787]
[emoji433]Naona mnanichokoza na kunipima nishawasoma kwenye ramani

[emoji433]Asili haitaki kulipa kwa sababu makombola yenu yamefeli sasa ngoja niwajaribu nione uwezo wenu .

[emoji433]Makombola nayarusha ,msinitishe alafu sihitaji mje kuomba msamaha

[emoji433]Eti albadili ,sasa tuone albadili yenu ,Niko pale nimekaa [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji3442][emoji3442][emoji3442]Mganga hatukanwi na hakitukanwa huyo ni feki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vita vita mura ,hii ni vita ya kiroho ,kama una macho huwezi kuona hadi uwe kipofu

Lazima ujue mbinu zote za kivita lasivyo unaumbuka

[emoji3257]Asili kwanza
FB_IMG_1702975400430.jpg
FB_IMG_1702975396382.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom