Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

027f13b645994f3a5d762308c0c0ea30.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini unauliza hivyo?

Mama alishasema mkosoe serikali ila kwa heshima na siyo kwa kuporomosha matusi.

Kama una maswali zaidi Waziri Nape Nnauye yumo humu anaweza kukufafanulia zaidi.
nilikua nachimba chimba tu nikagundua waandishi wa habari walikua wanateseka sana kipindi cha 'msukuma' nikawaza tu
 
nilikua nachimba chimba tu nikagundua waandishi wa habari walikua wanateseka sana kipindi cha 'msukuma' nikawaza tu
Na kwa vile na mimi ni Msukuma ndiyo ukaona unitwishe zigo ama?

Hufai! 😁😁😁🖐

➡️➡️➡️ Sidhani kama tuna waandishi wa habari Tanzania. Hata sasa Msukuma hayupo lakini umeona cha maana cho chote kinachoandikwa? Tumetoka kwa Msukuma tumeingia kwenye uchawa. Kimsingi hakuna kilichobadilika. It is just a mirage!
 
Back
Top Bottom