Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

b670f2f262f6a80201e9c8e1c4353bbe.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji1241]

Nipende kutumia fursa hii kumshukuru Mungu Kwa zawadi ya uhai .

Vilevile niwapongeze Kwa mapambano ya Kila siku ya kuwatumikia wanafunzi wenzetu.

Ndugu viongozi katika mkutano mkuu 25/11/2023 tulitangaza fursa Kwa chuo Cha Mwalimu Julius Nyerere University of Agriculture and Technology ( MJNUAT ) ambacho kipo Musoma ni chuo Cha serikali.

Chuo kinahitaji wanafunzi 100 lakini mpaka Sasa Kuna wanafunzi 20 tu ndio wameomba ambao nimewatafuta mimi , tafsiri yake ni kwamba fursa hii hatujaifikisha Kwa wanafunzi [emoji174][emoji174]

NB: wanafunzi Hawa wanapewa mkopo 100% naomba tusambaze upendo kama Kuna mtu anahitaji awasiliane Kwa no . 0713964972 Kwa maelekezo zaidi .

Aidha , wanaotaka kuhamia pia wanaruhusiwa ,kozi zinazotolewa katika chuo hicho ni :

1. Bsc-agricultural economics and agribusiness
2. Bsc-Aquaculture
3. Bsc-Computer science......

Asanteni sana .[emoji120]
Madam P .

VIA;
Wizara ya fedha na mikopo -SOSJCET
Innocent Wilbert Mollel -Waziri
#0694094178

Getrude Mgonja -Naibu waziri
#0788886069

Mfikishie fursa hii ndugu, jamaa na rafiki yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo kimeshakanusha!

IMG-20231213-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom