Kuna wakati hasa ule wa miezi ya tatu hivi ukiwa na sh 4000 we ni nusu mfalme, kipindi hicho ulanzi unauzwa sh 200 lita moja na sh 300 lita 2.
Basi bwana ukiwa na kiwango hicho cha pesa unaweza ng'oa mrembo mzuri kabisa na hapo hesabu za guest hazipigwi, ni mwendo wa kuingia kwenye mahindi marefu. Hapa watu wa Ulayasi, Mkiu, Masimbwe lazima wanielewe.