Vituko mikoani

Hao wameshidwa hata kujifunika nyasi? Halafu Trump akisema ati ooh huyu chizi atuombe radhi wa afrika...
 
Hao jamaa wa Breakdown mbona wapo uchi au gari ilikwamishwa kichawi?alafu uyu jamaa kapi kigauni anaonekana ndiyo mshua mwenye gari!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…