Hy mwanamama kiboko!!! Afande anakimbia janga?
Ni raha kweli kuona mashindano ya ndugu wa kihindi (Pakistan na India) katika harakati za kuteremsha bendera!
Hawa kama wabunge wetu.
Ingekuwa TZ huyu mama angejuta..
tena angerushiwa bomu!!!!!!!
Hy mwanamama kiboko!!! Afande anakimbia janga?