Vituko hivi, noma sana

kazikwanza1981

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,577
Reaction score
729
Kwenye coca cola naona kuna majina ya kishenzi tu, huwezi kuona majina ya maana kama Mwesigwa, Mutashobya, Rweyemamu, Rutashoborwa, Tibaijuka, Kazinduki, Mugashe, Rwebangira n.k.Hamna shida tutaweka either kwenye Heineken au Whisky.
 
Nini coca bana? Sisi kwenye mbege tumeshaweka Massawe, Lema, Lyimo nk. Nyie wekeni Kaleshu, Rweyemamu, Tigwera nk kwenye rubisi bana. Coca ina wenyewe!
 
Ahahaah hiyo nayo kali, na wale wa chang'aa sijui wataweka nini ahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…