Vituko haviishi duh

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,693


Wakuu nimeikuta hii mahali dah ikabidi niduae kwa dk kadhaa
Kumbe kuna wanawake wanapenda hii mambo.....................................!
 
Wake wa four ndio mpango mzima, na wanawake pia waolewe na wanaume wengi wengi.

Hiyo itakuwa shughuli nyengine wakitaka wote si balaa sasa...............!:confused2:
 
Ndio tutakua tuna watendea haki, wewe ukiwao wa four na yeye anaolewa na wa four... Kimbweka wewe unawangapi?
Hiyo itakuwa shughuli nyengine wakitaka wote si balaa sasa...............!:confused2:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…