Vituko duniani:

MKUU MZIZIMKAVU, Hivi ni moja ya vituko tu vilivyoko Afrika mfano mzuri unaweza ukawa Tanzania watafuta viungo vya walemavu wa ngozi au kipindi kile watu walikuwa wanachunwa ngozi, Afrika kunavituko vingi tu vingine havipati nafasi tu ya kwendahewani,

umaskini unaweza ukawa ni sababu lakini kuna sababu zingine kama ujinga uliokithiri na kutokujitambua kwa wahusika :A S 20:
 
Popo wengi wanajua pesa uzaa pesa
Akimuuza mwanae akienda Ulaya atapata pesa maisha yatakuwa safi
 
na mama yake kichanga alitoa baraka zote au..........
kwa mama yani yale maumivu bado unayahisi kwa mbaliiiiiiii na mtindi unamwangika balaaaa

bora ukose mali upate akili
 
Kuna program moja nliangalia few weeks ago,i think ni Aljazeer kama sikosei, huko huko kwa hawa Wapopo Naija kuna watu kabisa wanawateka mabinti wanawaweka ndani ya nyumba wanatafutwa wanaume na kwingine wapo wanaume maalum wanawalala wanawapa mimba,af watoto wanauzwa,na mabint wenyewe bado wadogo ..na wengine ni boyfriend zao wanawadanganya wanawapenda wanawamimba ,huku wanakubaliana na wanunuzi wa watoto,akijifungua tu mtoto anauzwa mnapewa hela au mnafanyiwa mpango wa visa ya kuja Ulaya kama malipo jaman!!
Hapo
Kama wa kiume hela nyingi na visa fasterr kama wa kike hela kidogo.. Can u imagine????!!!dunia sijuw inaelekea wapi
 



Asante ndugu,hawa jamaa kila wanapokwenda wanaharibu sababu ya tamaa zao na bado niashangaa kuona dada zetu bado wanawashobokea....
 

Hawa ndiyo wale wanaozania Ulaya ni kila kitu wakati maisha mazuri ni hapa nyumbani Afrika.
 
Asante ndugu,hawa jamaa kila wanapokwenda wanaharibu sababu ya tamaa zao na bado niashangaa kuona dada zetu bado wanawashobokea....

Mkuu St. Paka Mweusi sikia, si kila siku dada zetu tu ndiyo wana makosa. Najuwa ni wengi tunawalalamikia sana dada zetu mimi nikiwa mmoja wao. Wakati bado niko nje nasoma, pale shuleni tulikuwa na watanzania wachache na wanigeria wengi sana. Dada zetu walikuwa wanatoka na hao jamaa. Mimi siku moja nikamuuliza mmoja wa dada zetu eti ni kwanini wanapenda sana kutoka na wanigeria? Dada yule akaniambia mbele ya wenziwe huku wenziwe wakichekelea kuwa wanaume wa Tanzania ni majungu tu na umalaya usiotukuka ndiyo wanajuwa halafu hawajuwi kupenda na hawajuwi kumfurahisha mwanamke kitandani. Wakasema, wanigeria pamoja na sifa zao kuwa mbaya ni ma gentlemen na wanajuwa sana kale kamchezo. Na katika suala la kuharibu naona watanzania siku hizi tunawakaribia hawa jamaa kwani kila sehemu duniani wamejaa vijana wa kitanzania wanaojihusisha na masuala ya uuzaji unga. Hapa Bongo wako wengi sana, yaani wengi mno na ndiyo bishara ya sasa. Ukitaka kutoka, basi wewe kuwa zungu tu.
 
Last edited by a moderator:



Sijakuelewa vizuri kaka lakini mzee wangu niko katikati ya Amsterdam nadhani unaweza unielewa......
 
Huko ugiriki kwenyewe...shida tupu, jobless hawana idadi. Enda fanya nini kutalii?

Nataraji umzima; Nasikitika kuwa nasikia huko balkan(ulaya ya kusini) huwatumia wngi wetu kwa biashara za viuongo
(human organs trade) cost ya hulelewa ni $10000 wakija uza parts hupata hadi $50000 huoni balaa hilo !!
kuna unyama huko..
 
Asante ndugu,hawa jamaa kila wanapokwenda wanaharibu sababu ya tamaa zao na bado niashangaa kuona dada zetu bado wanawashobokea....

Salama kwa jamii, Hawa jamaa ni hatari kuliko mpasuko wa kombora la atomic !! kuuza kichanga ni kitu kama vile kula karanga barabarani tu, mtu mzima anauuza ; soma tarehe zao looh utaka mbali nao. ndugu zetu wasipo kuwa hadhari
tutakuwa tuna funga matanga ya ughaibuni.... "Naomba yasitukute hayo"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…