Vitu vya nyumbani kwa bei poa

Vitu vya nyumbani kwa bei poa

Mkuu huna jiko la mchina nami uniuzie[emoji15] [emoji15]

"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Watanzania"[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wandugu msisahau kuwa mtu akinunua vyote kwa mpigo nampa na ofa ya kuishi na wife kwa miezi sita wakati nikiendelea na kujipanga..

Sent using Jamii Forums mobile app

Japo nimecheka ila sio fair kwa mwanamke mwenzangu kuja kuingiliwa na mwanaume bila kufahamu hasa na mtu asiyemjua wala kuwa na mahaba nae.

Uza vitu ila mke mrejeshe kwao nae akalime mkivuna mnarudiana.

Kila la kheri.

Kasie mahaba.
 
img-20170906-wa0006-jpg.583221
nitakupa laki mbili kamili njoo pm kama unataka


yaan hata mm sofa zimenibariki !nunua mamy tukaweke sebulen kwetu na nanyupu teh
 
Back
Top Bottom