SOLD: Vitu vya ndani vinauzwa vyote

SOLD: Vitu vya ndani vinauzwa vyote

Status
Not open for further replies.
Hicho kitanda...hata ukinipa bure no...
Kitanda kina vibe mkuu huoni mpaka kina Ottoman bench?

Huyu jamaa kanifikirisha sana kwamba mtu anaweza kuwa na vitu visivyo vya gharama sana Tanzania halafu akavipanga kama yupo nyumba ya The Hamptons New York 😂😂😂
 
Kwani lazima uandike hayo... kukaa kimya kunafaa sana uache ya wengine na yao.
Kwani nawe usingenyamaza? Hili ni jukwaa huru. Kama umeleta hoja watu wapo huru. Unatumia IDs zako zote kujisupport. Una kitanda kama yebo. Hapo hata mimba huwezi pata. Kinatisha
 
Nakumbuka mm wakati naanza maisha nilitumia kama 1.5m hv kujaza chumba kizima tena vitu vyote ni vipya + kodi ya miezi sita, sasa ww unataka 1.1m kwenye vitu vya ndani tuu tena used 😂 Hapana aisee
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom