cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,127
Yaan, 😂😂😂😂😂Kanifurahisha mdau kauliza hivi vyombo ndio 120k au kuna vingine....au jiko ndio bei kubwa kanifanya nikathaminishe kila chombo 🤣🤣🤣🤣🤣. JF ukinuna umejitakia
Yaan, 😂😂😂😂😂Kanifurahisha mdau kauliza hivi vyombo ndio 120k au kuna vingine....au jiko ndio bei kubwa kanifanya nikathaminishe kila chombo 🤣🤣🤣🤣🤣. JF ukinuna umejitakia
Bei imekuja kama ngapi hivi?Kanifurahisha mdau kauliza hivi vyombo ndio 120k au kuna vingine....au jiko ndio bei kubwa kanifanya nikathaminishe kila chombo 🤣🤣🤣🤣🤣. JF ukinuna umejitakia
Sema jiko linaweza kuwa bei kubwa kama kama alivyosema mdau, ila kwenye vyombo hapo ngoja nisiharibu uzi bure😀😀😀😀Bei imekuja kama ngapi hivi?
okeyThe owner has a poor taste for colors.
Chaguo la rangi la kitanda, zuria na hizo sofa ni mbaya kuliko.
Nichukulie washing machine hiyo nimechoka kufua nguo za mwanao kila siku nipunguzie kazi
Nikurahisishie ili upate mteje teja haswavyote vinauzwa pamoja isipokuwa Tv tu saa na pazia..
Bei tajwa hapo zote kuna maongezi
MAHALI; Gongolamboto Dar es salaam
SIMU ; 0683473391
kama unahitaji au kuuliza piga simu, maana siko online muda wote
sofa mbili zote......................................200,000
kiti cha plastic...........................................10,000
zulia.................................................................50,000
meza..............................................................90,000
mashine ya kufua..............................200,000
vyombo na jiko......................................120,000
kitanda,taa na box lake .................250,000
Fridge............................................................200,000
JUMLA VYOTE NI...........1,120,000
Ukihitaji vuote itakuwa bora zaidi na bei inakuwa nafuu zaidi kuliko kuchukua kimoja kimoja..ijapokuwa na kimoja kimoja inawezekana
CHANGAMOTO ZILIZOPO
* Kwenye mashine ya kufua sehemu ya kukausha ndo inazingua kukausha ila ukitaka kurekebisha inarekebisha..mimi sikuirekebisha kwa sababu hapakuwa na ulazima kiviiiile,nikapotezea....ila ni mashine heavy duty inabeba kilo 8 hadi 10 za nguo
* zulia ni la kufua tu
ni hayo tu
- hilo sofa moja la njano unaweza badirisha cover yake
- kitanda pia ni cha kufuta tu kama ukiona kuna sehemu yenye vumbi
View attachment 3480256
View attachment 3480257
View attachment 3480258
View attachment 3480259
🤣🤣🤣🤣🤣 kitanda kimekukosea nini kwani...... washing mashine nzuri mpya Samsung au LG nzuri laki 9 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️Mpya tsh ngapi? Achana na huyu jamaa hakuna machine hapo. Mtu mwenyewe ana kitanda cha blue kina ming'ao kama yote hawezi kuwa na bidhaa ya maana hapo.
stupidHicho kitanda...hata ukinipa bure no...
nishauza kila kitu mkuu..Hupati kwa hiyo hela
nishauza mkuuHayo mavitu used ungegawa bure tu kwa wahitaji,ila kila la heri.
Hicho kitanda...hata ukinipa bure no...
Hongeranishauza mkuu
asante mkuu kwa reply yako.....lakin pia nilikuja nikauza vyote....just imagine....Kwani lazima uandike hayo... kukaa kimya kunafaa sana uache ya wengine na yao.
Hivyo ni vitu vya kuchoma moto ulikuwa unakaa na matakata ndani unataka uwauzie watu?stupid
asante mkuu kwa reply yako.....lakin pia nilikuja nikauza vyote....just imagine....