bado kidogo, give up vyoote ulivyonavyo mfuate yesu..., hapo utakuwa umewin na kupata uzima wa milele.Ninavyo hivyo vitu vyote je nime win life?
Lara 1, kuweka deadline ya MBA na CPA at age 28 is too aggressive, jaribu kuwa moderate kidogo, wewe unawafahamu wadada wangapi kutoka kwenye familia za kibongo out of 10 at that age with all that
Kwa mujibu wa cosmogony gani?
Ndio ujiandae kuwa na kwako pamoja na mke na watoto kwa mujibu wa mtoa mada
Kumsaidia jibu ni Yes otherwise asiwe na uwezo kabisa ila kwa mwenye kipato cha wastani hiyo lazma hata km ni simple tuWell, naweza kukubaliana nawe kwa baadhi ya vipengele lakini kwa hii namba 2 naomba ufafanuzi, kwa nini unafikiri at the age of 40 mtu anatakiwa kuwa amejenga na anakaa kwenye nyumba yake mwenyewe?
kuna wanaume wapo 51 bado wapo kwa wazazi
He he he Kiranga wanakutania huku.
++
Sijafanya lolote la maana duniani lakini afadhali nina sababu.
++
ahahaaaaa jipe moyo++
Sijafanya lolote la maana duniani lakini afadhali nina sababu.
++
wengine wanao bana...